3 Bedrooms House for Sale in Kigamboni Fundi Baskeli, Dar Es Salaam

Amenities
Description
NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI FUNDI BASKELI 🏡
Unatafuta nyumba nzuri ya kuhamia au kufanya uwekezaji? Hii ni fursa yako!
✅ Vyumba 3 vya kulala (Vyote Master)
✅ Sebule kubwa
✅ Dining
✅ Jiko la kisasa
✅ Nyumba imekamilika kwa takribani 85%
📄 Nyaraka: ya Serikali ya Mtaa
📍 Umbali:
• Kilomita 1 kutoka Barabara Kuu ya Lami
• Kilomita 12 kutoka Ferry
• Kilomita 10 kutoka Daraja la Nyerere
• Kilomita 6 kutoka Mbagala Kuu (External)
🌳 Mazingira mazuri na tulivu
🏠 Nyumba imenyooka na ipo katika eneo linaloendelea kukua kwa kasi
💰 Bei: TSh Milioni 140
📌 Maongezi kidogo yapo kwa mnunuzi makini.
📞0769554221
#trendingvideo #istagram #realestateforsale #trendingnow #tanzania🇹🇿















