3 Bedrooms House for Sale in Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam (400 sqm)


Description
Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi manispaa ya temeke dar es salaam
Bei milioni 85,000,000/= milioni
0759128747 0624436503
nyumba ya vyumba 3vya Kulala masters bedroom stingiroom daingiroom kitchen stoo toilet Public toilet nyumba ina kisima cha Maji nyumba ina boikota ya chumba 3 nyumba ina fremu chumba 2 nyumba ina hati miliki ya wizara ya aridhi ukubwa wa sqm 400 nyumba bei ml 85















