Search

3 Bedrooms House for Sale in Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 68,000,000

Description

🏑 NYUMBA YA KISASA INAUZWA – MBAGALA CHAMAZI πŸ“

Unatafuta nyumba ya kisasa kwa ajili ya familia au uwekezaji? Hii hapa opportunity ya kipekee kabisa iliyopo Chamazi, mazingira mazuri, salama na yenye maendeleo ya haraka. πŸ”₯

✨ SIFA ZA NYUMBA
βœ… Vyumba 3 vya kulala
βœ… Chumba 1 Master Bedroom
βœ… Sitting Room kubwa na ya kisasa
βœ… Dining Room
βœ… Jiko la kisasa pamoja na Store
βœ… Public Toilet
βœ… Kisima cha maji cha uhakika
βœ… Parking kubwa ya magari

πŸ“ Ipo Mbagala Chamazi – Dar es Salaam
βœ… Dakika chache kutoka barabara ya lami
βœ… Hati safi ya serikali ya mtaa
βœ… Eneo zuri kwa makazi na uwekezaji

⏰ Dakika 20 tu kufika mjini
πŸ’° Bei: Milioni 68 tu
🀝 Maongezi yapo kwa mteja serious

πŸ“ž Kwa maelezo zaidi na kwenda site:
☎️ 0683 665504

πŸ”₯ Njoo ukague mwenyewe, nyumba ni kali sana na inavutia!
#NyumbaInauzwa #Chamazi #Mbagala #DarEsSalaam #RealEstateTanzania

Similar properties in Chamazi, Dar Es Salaam

4 Bedrooms House for Sale in Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam

Sh. 90,000,000

  • Water Supply

  • Parking Space

  • Borehole

4 Bedrooms House for Sale in Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam

Sh. 90,000,000

  • Water Supply

  • Parking Space

  • Borehole

3 Bedrooms House for Sale in Mbagala Chamazi Saku, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

  • Water Supply

  • Parking Space

  • Borehole

4 Bedrooms House for Sale in Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

  • Water Supply

  • Parking Space

  • Borehole

3 Bedrooms House for Sale in Mbagala Chamazi Saku, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

  • Water Supply

  • Parking Space

  • Sitting Room

4 Bedrooms House for Sale in Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

  • Water Supply

  • Parking Space

  • Borehole

4 Bedrooms House for Sale in Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

  • Sitting Room

  • Dining Room

  • Kitchen

4 Bedrooms House for Sale in Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

  • Sitting Room

  • Dining Room

  • Kitchen

3 Bedrooms House for Sale in Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam

Sh. 54,000,000

  • Free Site Visit

  • Sitting Room

  • Dining Room