3 Bedrooms House for Sale in Tegeta Namanga, Dar Es Salaam (500 sqm)


Type
House
Bedrooms
3
Bathrooms
1
Plot Size
500 SQM
Amenities
Description
📞
NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA (300M) 🏠✨
📍 TEGETA NAMANGA - DAR ES SALAAM
Acha kuendelea kutaabika na ujenzi au kupanga! 🚫 Hii hapa nyumba ya kisasa kabisa, yenye muonekano wa kishua na iliyokamilika vizuri, ipo eneo tulivu na la kitalii la Tegeta Namanga! 🏙️💎
Sifa za Nyumba 👑:
🛏️ Vyumba 3 vya Kulala: Vyumba 2 ni Self-Contained (Ikiwemo Master Bedroom ya kishua 👑)
🛋️ Sebule Kubwa (Sitting Room): Ya kisasa na yenye nafasi ya kutosha
🍽️ Dining Room: Sehemu safi na ya kuvutia ya chakula cha familia
🍳 Jikoni (Kitchen): Yenye mpangilio wa kisasa
🚿 Public Toilet & Bathroom: Kwa ajili ya familia na wageni
📐 Ukubwa wa Kiwanja: SQMT 500+ (Nafasi nzuri ya maegesho ya magari 🚗 na uwezekano wa bustani 🌴)
💧 Maji Safi: Yapo tayari
⚡ Umeme: Upo karibu kabisa
Nyaraka & Eneo 📜:
📄 Hati: Sales Agreement (Hati ya mauziano ya Serikali ya Mtaa)
📍 Mahali: Tegeta Namanga, Dar es Salaam
💰 BEI: TSh 300,000,000/= (MAONGEZI YAPO! 🤝)
Nyumba kali kama hii Tegeta haidumu sokoni! ⏳
📲 Piga simu au tuma WhatsApp sasa hivi: ukague na uimiliki leo! 📞🔥















