4 Bedrooms House for sale in Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam

Type
House
Bedrooms
4
Plot Size
800 SQM
Nearest Road
1km
Description
🏡 NYUMBA YA KISASA INAUZWA – KIGAMBONI KISIWANI 🏡
Je, unatafuta nyumba yenye nafasi kubwa, mazingira mazuri na ipo karibu na miundombinu muhimu? Hii ndiyo fursa yako!
✨ Sifa za Nyumba:
✅ Vyumba 4 vya kulala (2 Master)
✅ Sebule kubwa
✅ Jiko la kisasa
✅ Eneo la SQM 800
✅ Kiwanja kimepimwa na kina Approved Plan
✅ Kisima cha maji
✅ Full paving
✅ Electric fence
✅ Pia kuna nyumba ndogo (boy’s quarter) ambayo haijakamilika yenye:
* Vyumba 2
* Sebule
* Jiko
📍 Mahali: Kigamboni – Kisiwani
* Kilomita 1 kutoka barabara ya lami
* Kilomita 5 kutoka Ferry
* Kilomita 3 kutoka Daraja la Nyerere
🌿 Mazingira ni mazuri, mtaa umepangika na unafaa kwa makazi ya familia.
💰 Bei: TZS Milioni 240
🤝 Mazungumzo yapo.
📞0769554221
#trendingvideo #istagram #realestatemarket #realestateagent #tanzania















