Search

4 Bedrooms House for Sale in Kisarawe, Kigamboni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 130,000,000

Description

🏑 NYUMBA YA KISASA INAUZWA – KISARAWE, KIGAMBONI 🏑

Unatafuta nyumba ya kisasa, salama na yenye nafasi kubwa kwa familia yako? Hii ndiyo fursa usiyoipaswa kuikosa!

πŸ“ Location: Kisarawe – Kigamboni
πŸ“ Ukubwa wa Kiwanja: SQM 1000
πŸ“œ Title: Hati ya Wizara
πŸ›£οΈ Umbali: Km 1 kutoka Barabara ya Lami
πŸ’° Bei: TSh 130,000,000

🏠 Sifa za Nyumba:
βœ”οΈ Vyumba 4 vya kulala (3 Master Bedroom)
βœ”οΈ Sebule kubwa na ya kisasa
βœ”οΈ Dining room
βœ”οΈ Jiko lenye nafasi ya kutosha
βœ”οΈ Public toilet
βœ”οΈ Fence imara kuzunguka nyumba yote
βœ”οΈ Geti la kisasa
βœ”οΈ Mazingira tulivu na salama, yanayofaa kwa makazi ya familia.

πŸ“ž Kwa maelezo zaidi au kupanga Site Visit, wasiliana nasi:

DalaliPro Kigamboni
πŸ“± 0656902073

Tunakuunganisha na nyumba bora zenye nyaraka halali kwa usalama wa uwekezaji wako.

#DalaliProKigamboni #NyumbaInauzwa #Kigamboni #Kisarawe #RealEstateTanzania PropertyForSale HatiYaWizara

Similar properties in Kigamboni, Dar Es Salaam

3 Bedrooms House for Sale in Kigamboni, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 85,000,000

For Sale3 beds2 baths400 sqmhouse
4 Bedrooms House for Sale in Kigamboni, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 85,000,000

For Sale4 beds1 bath400 sqmhouse