Search

5 Bedrooms House for Sale in Mbezi Beach, Dar Es Salaam (1800 sqm)

 media -1
media -1
$ 1,200,000

Description

NYUMBA YA KIFAHARI INAUZWA MBEZI BEACH πŸ—Ίβœ¨

Inatafuta mmiliki mpya! Hili ni ghorofa la kisasa na la kipekee lililopo kwenye moja ya maeneo ya hadhi ya juu kabisa Mbezi Beach, jirani kabisa na Ramada Hotel. Nyumba hii inatoa mchanganyiko wa kipekee wa usalama, utulivu, na muonekano mzuri wa bahari.

Sifa za Jengo:

πŸ“ Ukubwa wa Kiwanja: Sqm 1800 (Eneo pana sana)

πŸ“‘ Unyaraka: Inamilikiwa kwa Hati Miliki (Clean Title Deed)

πŸ› Vyumba: Vyumba 5 vya kulala (kati ya hivyo, 4 ni masta)

πŸ›‹ Sebule: Sebule 2 kubwa na za kisasa zenye mwanga mzuri wa asili

🏠 Boycott (Bycotta): Ipo kwa ajili ya watumishi au wageni

πŸŠβ€β™‚οΈ Swimming Pool: Bwawa safi na kubwa la kuogelea

🌊 Location: Dakika chache kutoka ufukweni, yenye view nzuri ya bahari

πŸ’° Bei: USD 1,2 (Dola Milioni 1,2)
Kama unatafuta makazi bora yenye viwango vya kimataifa kwa ajili ya familia yako au uwekezaji, hii ndio fursa yenyewe.

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi na kufanya booking ya kuitembelea:

O749247010

Similar properties in Mbezi, Dar Es Salaam

3 Bedrooms House for Sale in Mbezi Mshikamano, Dar Es Salaam

Sh. 82,000,000

For Sale3 beds2 bathshouse
4 Bedrooms House for Sale in Mbezi Beach, Dar Es Salaam (950 sqm)

Sh. 1,200,000,000

For Sale4 beds4 baths950 sqmhouse
House for Sale in Mbezi Beach, Dar Es Salaam (1433 sqm)

Sh. 770,000,000

For Sale1,433 sqmhouse
6 Bedrooms House for Sale in Mbezi Beach, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 1,700,000,000

For Sale6 beds1,200 sqmhouse
6 Bedrooms House for Sale in Mbezi Kwa Msuguri, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 250,000,000

For Sale6 beds2 baths1,000 sqmhouse
6 Bedrooms House for Sale in Mbezi Kwa Msuguri, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 250,000,000

For Sale6 beds2 baths1,000 sqmhouse