6 Bedrooms House for Sale in Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam (2500 sqm)

Type
House
Bedrooms
6
Bathrooms
6
Plot Size
2500 SQM
Nearest Road
300m
Amenities
Description
🏰 KASRI LA KIFAHARI LINAAUZWA – KIGAMBONI KISIWANI, DAR ES SALAAM 🏰
Unatafuta nyumba ya kifahari yenye hadhi ya kipekee? Hili ni kasri halisi lenye kila kitu kwa maisha ya kisasa na ya kifahari.
📍 Location: Kigamboni Kisiwani, Dar es Salaam
✅ Mita 300 tu mpaka barabara ya lami
✅ Km 4 mpaka Ferry
✅ Km 3 mpaka Daraja la Kigamboni
✨ SIFA ZA KASRI HILI:
🛏️ Vyumba 6 vya kulala – vyote Master
🛋️ Sebule kubwa ya kisasa
🍽️ Dining pamoja na jiko la kisasa
🏊 Swimming Pool
🌳 Garden kubwa na mazingira mazuri
🚘 Parking ya kutosha
🧱 Paving Blocks
⚡ Electric Fence
🏠 Aluminium Windows & Doors
🎨 Gypsum nzuri ya kisasa
📐 Eneo kubwa sqm 2500
📄 Limepimwa na lina Hati safi ya Wizara
🔥 Nyumba imekamilika kabisa, tayari kwa kuhamia
🔥 Inafaa kwa makazi ya kifahari, viongozi, wawekezaji au family kubwa
💰 BEI: TZS Bilioni 1.2
🗣️ Mazungumzo madogo yapo
🚗 Service Charge: 30,000/= kwa kuoneshwa site
📞 Call/WhatsApp: +255 746 433 854















