7 Bedrooms House for sale in Kigamboni - Kibada, Dar Es Salaam

Type
House
Bedrooms
7
Plot Size
2009 SQM
Amenities
Description
NYUMBA MBILI ZINAUZWA
Fursa adhimu ya kupata nyumba tayari kwa makazi pamoja na
jengo la ghorofa kwenye eneo moja.
Nyumba ya Kwanza (Tayari kuhamia)
V Vyumba 3 vya kulala
V Chumba 1 Master
V Sebule
V Jiko
V Nyumba iko tayari kwa makazi mara moja.
Nyumba ya Pili - Ghorofa
Chini:
V Vyumba 2
V Sebule
V Jiko
V Public toilet
Juu:
V Vyumba 4
V Vyumba 3 Master
V Public toilet
A Ukubwa wa eneo: Sqm 2009
Hati kamili ya wizara
$ Bei: Tsh Milioni 380 (mazungumzo yapo kidogo)
Location: Kigamboni - Kibada (Block 17)
% Mawasiliano: 0658637690
Nzuri kwa makazi au uwekezaji.



















