1 Bedroom Apartment for Rent in Kikuyu, Dodoma

Amenities
Description
APARTMENT NZURI MPYA ZINAPANGISHWA
📍 Mahali: Kikuyu
✨ Nyumba mpya, mazingira mazuri na tulivu
🛏️ Muundo
• Chumba cha kulala (Master)
• Sebule kubwa
• Jiko la kisasa Linawekwa makabati
💰 Kodi: Tsh 265,000 kwa Mwezi
— Ulipi Maji,Usafi
📆 Namna ya Malipo: Kuanzia Miezi 4 Pamoja na Kodi ya Mwezi mmoja Analipia Mteja ( Mpangaji )
📅 Kuingia kuanzia: 01/06/2026
✨ Kuona na Kulipia Luska
🔌 Huduma Zilizopo:
• Umeme wa kujitegemea (LUKU)
• Maji ya kisima yanapatikana muda wote
• Nyumba ipo karibu na lami (ya pili kutoka barabara ya lami)
• Eneo linawekewa paving blocks
• Fensi ya umeme kwa usalama zaidi
📞 Mawasiliano:
• 0787037986
• 0757037986
👉 Karibu sana kwa maelezo zaidi na kupanga kuja kuangali














