3 Bedrooms Apartment for Rent in Kigamboni Kisiwa, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 1,000,000 per month

Type

Apartment

Bedrooms

3

Amenities

Air Conditioning
Parking Space
Water Supply
Heater
Sliding Windows
Tiles

Description

🏡 CLASSIC APARTMENT FOR RENT – KIGAMBONI KISIWANI

Fursa adimu ya kupata apartment ya kifamilia, classic kabisa, mpya na ya kiwango cha juu ✨
Inafaa kwa familia watulivu na wa heshima.

✨ Sifa za Nyumba:
✔️ Vyumba 3 vya kulala
✔️ Vyumba vyote ni master
✔️ Sebule kubwa na ya kifahari
✔️ Dining room
✔️ Jiko la kisasa
✔️ Nyumba ya juu (upper floor)
✔️ Nyumba mpya kabisa
✔️ AC kwenye vyumba
✔️ Hita ya maji
✔️ Aluminium windows
✔️ Tiles za kisasa
✔️ Gypsum ceiling
✔️ Maji safi (yasiyo na chumvi, ya matumizi ya chakula)
✔️ Parking kubwa ya kutosha
✔️ Wapangaji wachache na watulivu
✔️ Mazingira mazuri sana ya kuishi familia

📍 Location: Kigamboni Kisiwa – karibu kabisa na huduma zote muhimu

💰 Kodi: TZS 1,000,000 kwa mwezi

💵 Service charge: TZS 30,000
📞 Call / WhatsApp: +255 746 407 197

⏰ Nyumba kali kama hii hazikai sokoni muda mrefu
📲 Piga simu sasa kwa maelezo zaidi au kupanga site visit

#dalali #dalalikigamboni #apartmentsforrent
#chatgpthousesforrent #googlebesthouseforrent
kigambonikisiwa classicapartment familyhouse realestateTanzania