2 Bedrooms Apartment for Rent in Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000 per month

Type

Apartment

Bedrooms

2

Bathrooms

2

Amenities

Sitting Room
Kitchen
Kitchen Cabinets
Public Toilet
Tiles
Gypsum Ceiling

Description

HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI

#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLICK TOILET

TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS 🏡 SAFI PARKING KUBWA

LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA NDANI

LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI

BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUZA MIEZI PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI

NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA

0715949085