2 Bedrooms Apartment for Rent in Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 250,000 per month

Type

Apartment

Bedrooms

2

Amenities

Sitting Room
Kitchen
Open Kitchen
Public Toilet
Gypsum Ceiling
Tiles

Description

HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 02/03/2026 KUONA MALIPO RUKSA

#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO OPERN KITCHEN
#PUBLICK TOILET

NYUNBA INA FLOOR NYEKUNDU GIPSAM SAFI CHOO KUNA TAILZY
PAVING SAFI NYUMBA HAIPO KWENYE FENSI ILA USALAMA WA KUTOSHA KABISA

LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA NDANI

LOCATIOB KIMARA KOROGWE DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI

BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUZA MIEZI PAMOJA NA PESA YA DALALI YA MWEZI MMOJA

0715949085