2 Bedrooms Apartment for Rent in Kimara Mwisho, Dar Es Salaam









Amenities
Description
Apartment Inapangishwa KIMARA MWISHO dk 5 kutoka main road
NYUMBA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
Sebule Kubwa
Jiko Kubwa
Public toilet
Luku Yako & Maji yana flow ndani
Iko kwenye fenci ila hailazi gali
Usalama wakutosha
Kodi 300,000/= Kwa mwezi, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :-
0712528820
0685221354
Mr.















