Search

Farm for Sale in Kiwangwa, Pwani (10 acre)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Kiwangwa, Pwani
2 months ago
Sh. 70,000,000

Type

Farm

Farm for sale in Kiwangwa

Plot Size

10 ACRE

Nearest Road

2km

Amenities

Near Road
Near Paved Road
Flat Land
Store Room
Godown
Crops

Description

Shamba la ekari 10 pamoja na nyumba 2 kubwa zinauzwa
_____
Location kiwangwa Bagamoyo
_____
Kuna nyumba 2 kubwa zenye kila kitu ndani na godauni la kuhifadhia mazao
_____
Pia shamba lina mazao kama Mananasi,Miembe,Migomba,Mipapai,Mifenesi,mihogo na mifenesi
______
Shamba ni zuri sana lipo tambalale
______
Barabara ipo hadi shamba
______
Lipo umbali wa kilometa 2 kutoka kiwangwa mjini na ilipo barabara kuu ya lami
______
Vyote kwa pamoja vinauzwa shilingi 70 milioni
______
Wahi sasa ulipate hili shamba utakuja kunishukuru
_____
Call and WhatsApp +255713928950

#dalali_bagamoyo
#bagamoyoproperty
#realestatetanzania

Similar properties in Kiwangwa, Pwani

Farm for Sale in Kiwangwa, Bagamoyo, Pwani (40 acre)

Sh. 1,000,000/acre

  • Near Road

  • Flat Land

Farm for Sale in Kiwangwa, Pwani (16 acre)

Sh. 100,000,000

  • Near Road

  • Near Paved Road

  • Flat Land