Farm for Sale in Mkata, Tanga (500 acre)
ID: 260903QEKX2Mkata, Tanga
4 days ago
Sh. 150,000,000
Amenities
Description
Habari wadau shamba linauzwa zipo ekari 500 shamba lipo mkoa wa morogoro wilayani mvomero kijiji mkata barabara kuu ya iringa road shamba halijasafishwa shamba hili lipo kilometa 1 kutoka barabara kubwa ya iringa road au mikumi shamba hili limepimwa Lina hati kabisa ya wizara hivyo halina shida yoyote biashara IPO wazi njoo ujipatie shamba hili Kwa milioni 150 halina maji Lina faaa Kwa kilimo na ufugaji Kwa aliyetayari





