Search

Farm for sale in Nyave, Mlimba, Morogoro

Mlimba, Morogoro
12 hours ago
Sh. 300,000/acre

Amenities

Description

Mkoa wa morogoro mashamba yanauzwa

Mashamba yapo mpakani morogoro na njombe

Mashamba yapo kijiji cha nyave halimashauli ya mlimba

Mashamba ni ya kilimo cha palachichi cocoa kalafuu na iliki

Kila heka moja Bei kitonga ni laki tatu tu

Ipo pembeni mito isokauka kipindi chote cha mwaka

Hati mauziano selikali ya Kijiji

Contact 0712531657
0789731695