Retail Space for Rent in Makumbusho, Dar Es Salaam

Makumbusho, Kinondoni, Dar Es Salaam
23 hours ago
Sh. 500,000 per month
Type
Retail Space
Description
FREM INAPANGISHWA – MAKUMBUSHO 🔥
Unatafuta frem ya kisasa kwa biashara yako? Hii hapa fursa adimu!
📍 Ipo Makumbusho – eneo lenye mzunguko mkubwa wa watu
💰 Bei: 500,000/= kwa mwezi
✨ Frem nzuri sana yenye muonekano wa kisasa kabisa
🧾 Service Charge: 30,000/=
Inafaa kwa biashara mbalimbali kama duka, ofisi, saluni, au huduma nyingine yoyote.
📞 Wahi sasa: 0787093748
