Retail Space for Rent in Sinza, Dar Es Salaam

Sinza, Ubungo, Dar Es Salaam
9 hours ago
Sh. 200,000 per month
Type
Retail Space
Description
🔥 FREM INAPANGISHWA – SINZA 🔥
Unatafuta sehemu nzuri ya kuanzisha biashara au ofisi? Hii hapa fursa yako! 👇
📍 Ipo Sinza, eneo zuri lenye mzunguko mkubwa wa watu
🏢 Frem nzuri na yenye muonekano wa kuvutia
💼 Inafaa kwa ofisi au duka la aina yoyote
💰 Bei: 200,000/= kwa mwezi
🧾 Service Charge: 30,000/=
⚡ Sehemu rafiki kwa biashara yako kukua haraka!
📞 Wahi sasa: 0787093748
Usikose nafasi hii adimu! 🚀
