Retail Space for Rent in Sinza, Dar Es Salaam


Amenities
Description
🏢 FREM INAPANGISHWA – SINZA 🏢
Unatafuta frem kubwa yenye location bora kwa biashara yako? Hii hapa fursa adimu Sinza!
✅ Kodi: Tsh 2,000,000/= kwa mwezi
✅ Frem kubwa sana na yenye nafasi ya kutosha
✅ Inatazama barabara ya lami
✅ Eneo lenye mzunguko mkubwa wa wateja
✅ Inafaa kwa biashara mbalimbali
✅ Mazingira mazuri na salama
💰 Service Charge: Tsh 30,000/=
📞 Call: 0787093748 kwa maelezo zaidi na kupanga kuiona.
Wahi sasa! Frem za maeneo mazuri kama haya hupata wapangaji haraka sana. 🔑🏪















