Search

Warehouse for Rent in Mbagala Zakhem, Dar Es Salaam (350 sqm)

Sh. 3,500,000/month

Description

GODAUN LINAPANGISHWA – MBAGALA ZAKHEM

Unatafuta godaun kwa ajili ya biashara au kuhifadhi bidhaa? Hii ndiyo fursa yako!

📍 Mahali: Mbagala Zakhem, nyuma ya Dar Live
📐 Ukubwa: Square Meter 350
💰 Kodi: TSh Milioni 3.5 kwa mwezi
🗓️ Malipo: Miezi 6 mbele

Godaun linafaa kwa biashara mbalimbali na lipo katika eneo linalofikika kwa urahisi.

Kwa maelezo zaidi na kupanga kwenda kuliona, piga simu: 0683 665504.

Similar properties in Mbagala, Dar Es Salaam