Warehouse/Godown for Rent in Songea Mjini, Ruvuma
Mjini, Ruvuma
8 hours ago
Sh. 500,000/month
Amenities
Near Road
Maize Mill Machine
Description
GODAUNI NA MASHINE YA SEMBE VINAPANGISHWA
Location, Songea Mjini
Godauni lipo sehemu nzuri sana na jilani na mjini, Gari kubwa linafika mbaka site kwa urahisi mkubwa
Unaruhusiwa kuhifadhi mali yeyeto ila au mzigo wowote ule unaokubalika kwa sheria za Tanzania
Pia ndani ya godauni kuna mashine ya sembe ambayo pia utaruhusiwa kuitumia kama ukihitaji
Kodi 500000 kwa mwezi
Kwenda site 10000
Kwa maelezo zaidi gusa link hiyo chini๐
https://wa.link/8irs4n
CALL& WHATSAPP 0682975711
SAVE DALALI SMART SONGEA ๐คณ










