Hospital for Sale in Kimara Korogwe, Dar Es Salaam
Kimara, Dar Es Salaam
4 hours ago
Sh. 9,500,000,000
Description
Hospitali hiyo inauzwa ipo Kimara Korogwe
inauzwa na kila kitu chake kilichokuwepo ndani
hii Hospitali ipo kwenye ngazi ya Hospitali ya Wilaya inafanya kazi masaa24
Hospitali ni kubwa na inajulikana
sana mmiliki ni mmoja na ina Hati ya kisasa ya wizara
mwenyewe ameamua kuuza mali yake anauza Bil 9.5
Kazi hii ni nzuri sana na imenyooka haina konakona
kukagua mda wowote hakuna masharti. 0782636396 wasp















