Search

House for Sale in Chukwani Skuli, Zanzibar

Sh. 300,000,000

Description

#10000millionviewsviralvideo
🏑 TUNAUZA NYUMBA – CHUKWANI SKULI, ZANZIBAR
πŸ”₯ BEI: TSH 300,000,000 TU!
Unatafuta nyumba katika eneo zuri, tulivu na lenye thamani kubwa ya uwekezaji? Hii ni fursa ya kipekee Chukwani!
πŸ“ Ipo Chukwani Skuli, eneo ambalo limeendelea kwa kasi na liko karibu kabisa na mjini. Nyumba ipo line ya 3, takribani dakika 4 kutoka barabara kuu ya lami.
✨ Kwa nini Chukwani? β€’ Eneo salama, tulivu na linalofikika kwa urahisi
β€’ Mazingira mazuri kwa kuishi na familia
β€’ Linafaa sana kwa uwekezaji wa apartments, rental houses na miradi mingine
β€’ Viwanja vya eneo hili ni vikubwa, baadhi vinafikia Futi 70 Γ— 70
β€’ Hospitali, skuli, maduka na huduma nyingine za kijamii zipo karibu
β€’ Usafiri unapatikana kwa urahisi
πŸ’° Bei ni TSH 300,000,000 tu.
Kwa wawekezaji kutoka Oman, UK, Kenya, Tanzania/Zanzibar na hasa wazawa wanaotaka kuwekeza Zanzibar, hii ni nafasi nzuri ya kumiliki property katika eneo linaloendelea.
⏰ USISUBIRI! Wahi mapema kabla nafasi hii haijapatikana kwa mwingine.
πŸ“ž Kwa maelezo zaidi na kuiona nyumba, wasiliana nasi.

Dalali Zanzibar

dalali_zanzibar_one_hd

@dalali_zanzibar_one_hd

View Listings

Similar properties in Zanzibar, Zanzibar

4 Bedrooms House for Sale in Kvz, Njia Ya Kisakasaka, Zanzibar

Sh. 200,000,000

For Sale4 bedshouse
Zanzibar, Zanzibar
4 Bedrooms House for Sale in Kvz Kisakasaka, Zanzibar

Sh. 200,000,000

For Sale4 bedshouse
Zanzibar, Zanzibar
House for Sale in Shakani, Zanzibar

Sh. 53,000,000

For Salehouse
Zanzibar, Zanzibar
4 Bedrooms House for Sale in Umbuji Madozani, Zanzibar (1584 sqm)

Sh. 55,000,000

For Sale4 beds1,584 sqmhouse
Zanzibar, Zanzibar
4 Bedrooms House for Sale in Umbuji Madozani, Zanzibar

Sh. 55,000,000

For Sale4 bedshouse
Zanzibar, Zanzibar
House for Sale in Chukwani Skuli, Zanzibar

Sh. 300,000,000

For Salehouse
Zanzibar, Zanzibar
4 Bedrooms House for Sale in Chukwani, Zanzibar - Mjini Magharibi (412.5 sqm)

Sh. 150,000,000

For Sale4 beds412.5 sqmhouse
Zanzibar, Zanzibar
4 Bedrooms House for Sale in Chukwani, Zanzibar (412.5 sqm)

Sh. 150,000,000

For Sale4 beds412.5 sqmhouse
Zanzibar, Zanzibar
Houses & Apartments for Sale in Bweleo, Zanzibar

$ 190,000

For Sale3 bedshouse
Zanzibar, Zanzibar
Houses & Apartments for Sale in Bweleo, Zanzibar

$ 190,000

For Salehouse
Zanzibar, Zanzibar
4 Bedrooms House for Sale in Dunga, Zanzibar - Unguja South (8000 sqm)

Sh. 28,000,000

For Sale4 beds8,000 sqmhouse
Zanzibar, Zanzibar
4 Bedrooms House for Sale in Dunga Vilayani, Zanzibar (8000 sqm)

Sh. 28,000,000

For Sale4 beds8,000 sqmhouse
Zanzibar, Zanzibar
3 Bedrooms House for Sale in Fuoni Chunga, Zanzibar

Sh. 35,000,000

For Sale3 beds1 bathhouse
Zanzibar, Zanzibar
3 Bedrooms House for Sale in Fuoni Chunga, Zanzibar

Sh. 35,000,000

For Sale3 bedshouse
Zanzibar, Zanzibar
4 Bedrooms House for Sale in Kitope Njia Ya Kinduni, Zanzibar - Mjini Magharibi (4000 sqm)

Sh. 35,000,000

For Sale4 beds4,000 sqmhouse
Zanzibar, Zanzibar
Dalali Zanzibar