House for Sale in Kinondoni MKWAJUNI, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 55,000,000

Type

House

Amenities

Near Paved Road
Near Road

Description

NYUMBA INAANGALIA LAMI YA MTAA,TSHS.55 MILIONI,KINONDONI.

Eneo ni Kinondoni MKWAJUNI.

Ni nyumba ya KIZAMANI.

Hapa unaweza;
●Kuendelea kuchukua Kodi,
●Kuiboresha ili Kuchuma Kodi zaidi,
●Kuweka Makazi yako au
●Kuipiga chini na kuweka Jengo la kisasa la Apartments au Maofisi.

Nyumba inaangalia Barabara yenye Lami ya Mtaa.
Na si mbali na Barabara kubwa.

______________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

______________ryt