House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 150,000

Type

House

Description

BEI:150,000 Kwa mwezi × 3

APARTMENTS NZURI MPYAAAAA ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE

Chumba cha kulala kikubwa
Sebule kubwa
Choo ndani( Master
Jiko kubwa

Bei:150,000 Kwa mwezi × 3

Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon . Ndani ya fence parking IPO

Umbali KM 2.9 BAJAJI ZIPO UKISHUKA DAKIKA 4-5 UPO KWENYE NYUMBA

Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
SIM
WSP