Search

Plot for sale in Geza, Kigamboni, Dar Es Salaam acre 1.5

video thumbnail
Sh. 480,000,000

Plot Size

1.5 ACRE

Nearest Road

200m

Amenities

Title Deed
Fence
Near Paved Road

Description

πŸ”₯ ENE0 KUBWA LA UWEKEZAJI LINAUZWA – GEZA, KIGAMBONI DAR ES SALAAM πŸ”₯

πŸ“ Location: Geza, Kigamboni – Dar es Salaam
πŸ“ Ukubwa: Hekta 1.5
πŸ“„ Limepimwa na lina hati safi
🚧 Limezungushiwa fensi tayari

βœ… Eneo hili linagusa barabara mbili kubwa za mita 30
βœ… Mita 200 tu kutoka barabara ya lami
βœ… Mazingira mazuri sana na mtaa umetulia
βœ… Barabara zinafikika kipindi chote cha mwaka hata wakati wa mvua

πŸ“Œ Umbali:

* Kilomita 13 mpaka Ferry
* Kilomita 12 mpaka Darajani
* Mita 200 mpaka barabara ya lami

πŸ’Ό Eneo linafaa kwa:
🏨 Hotel
🏫 Shule
πŸ₯ Hospitali
🏭 Godown
πŸš› Yard
🏒 Apartment & projects nyingine kubwa za uwekezaji

πŸ’° Bei: TZS Milioni 480
🀝 Mazungumzo yapo kidogo sana kwa mnunuzi serious

πŸš— Service Charge: TZS 30,000 kwa ajili ya site visit

πŸ“ž Call/WhatsApp: +255746407197

#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidar es salaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment dalalidaressalaam kigamboni uwekezaji viwanjavinauzwa dar_es_salaam