Search

Plot for sale in Gezaulole, Dar Es Salaam sqm 800

video thumbnail
Sh. 50,000,000

Plot Size

800 SQM

Description

🏡 GEZAULOLE BLOCK 16 – FURSA YA KISHUA KIGAMBONI! 🌴✨

Kiwanja kinauzwa Gezaulole Block 16, ukubwa SQM 800 📐
✅ Kimepimwa
✅ Kina Hati ya Wizara
✅ Mtaa mzuri na neighborhood ya kishua
✅ Eneo tulivu na lina maendeleo mazuri
✅ Umbali wa KM 15 tu kutoka Daraja la Kigamboni
✅bei million 50 maongezi kidogo

Sehemu nzuri kwa kujenga nyumba ya kisasa, villa, au investment ya uhakika karibu na bahari 🌊🏠

📲 WhatsApp/Call: 0755 021 999

#Gezaulole #Kigamboni #ViwanjaKigamboni #PlotForSale #DarEsSalaam