Residential Plot for Sale in Goba, Tegeta A, Dar Es Salaam (380 sqm)
Type
Residential Plot
Plot Size
380 SQM
Amenities
Description
🔥 KIWANJA KINAUZWA - GOBA (TEGETA A) 🔥
Pata eneo tulivu na la kisasa la kujenga nyumba ya ndoto yako! Kiwanja kizuri sana kinauzwa kwa bei nafuu mno, eneo linalokua kwa kasi na lenye huduma zote muhimu.
Sifa za Kiwanja:
Mahali: Goba, Tegeta A
Ukubwa: SQM 380
Bei: TZS Milioni 24 Tu (Negotiable)
Hali ya Eneo: Bapa/Tambarare, tayari kwa ujenzi
Ulinzi na Usalama: Kimezungukwa na fensi pande mbili
Mazingira: Neighborhood nzuri, ya kisasa na majirani wameshajienga
Ufikikaji: Kinafikika kwa urahisi muda wote
📌 Wahi Sasa! Fursa Kama Hii Haidumu:
📞 Piga / WhatsApp: au
@dalaliuhuru_mbweni
#ViwanjaInauzwa #GobaTegetaA #KiwanjaGoba #RealEstateTanzania #NyumbaNaViwanjaDar PlotForSaleDar InvestInTanzania ViwanjaBeiNafuu TanzaniaRealEstate GobaNyumba















