Search

Residential Plot for Sale in Kigamboni, Ungindoni, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 65,000,000

Description

🏡🔥 KIWANJA KINAUZWA – KIGAMBONI, UNGINDONI 🔥🏡

Fursa nzuri ya kumiliki kiwanja katika eneo zuri la Kigamboni – Ungindoni, linalofaa kwa makazi na uwekezaji.

✨ SIFA ZA KIWANJA:
📐 Ukubwa: SQM 600
📄 Kimepimwa na kina Hati ya Wizara
📍 Eneo zuri na linalofikika kwa urahisi
🏗️ Kinafaa kwa kujenga nyumba au kwa uwekezaji

📍 UMBALI:
🚗 Mita chache kutoka barabara ya lami
⛴️ Kilomita 7 kutoka Ferry
🌉 Kilomita 4 kutoka Daraja la Nyerere, Kigamboni

💰 BEI: TZS MILIONI 65
🤝 Mazungumzo kidogo yapo.

🔥 Fursa nzuri sana kwa mtu anayetafuta kiwanja chenye hati katika eneo la Ungindoni!

📞
📍Service Charge 30,000

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio

Viwanja kigamboni inzima
Beach plot kigamboni inzima
Nyumba kigamboni inzima

Dalali Kigamboni mbavu

dalali__kigamboni_mbavu

@dalali__kigamboni_mbavu

View Listings

Similar properties in Kigamboni, Dar Es Salaam

Dalali Kigamboni mbavu