Plot for sale in Madale, Dar Es Salaam sqm 1500


Plot Size
1500 SQM
Nearest Road
400m
Amenities
Description
✨ KIWANJA KIZURI KINAUZWA – MADALE
Location: Madale – mita 400 tu kutoka lami kubwa
🛣️ pia nikaribu na jengo la TRA madale
Plot ya 3 kutoka lami mpya kabisa
📐 Ukubwa: SQM 1500
Hati: Hati safi ya Wizara
💰 Bei: Milioni 155
Faida za kiwanja:
✔️ Eneo zuri na linaendelea kukua kwa kasi
Linafaa sana kujenga apartments
(uwekezaji wa uhakika
Pia linafaa kwa makazi binafsi
✔️ Barabara nzuri
👀 Gharama ya kutembelea kiwanja: TSH 50,000/=
🔥 Hii ni nafasi adimu sana – wahi usikose!
📞 Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi
CONTACT
#0714003705















