Residential Plot for Sale in Madale Msumi, Dar Es Salaam (900 sqm)

Type
Residential Plot
Plot Size
900 SQM
Amenities
Description
🏡 KIWANJA KINAUZWA – MADALE NJIA YA MSUMI "MAARUFU MSUMI 'C'
📍 Location: Madale Msumi ,takribani dakika 8 kwa MIGUU kutoka kituoni
Kipo njia ya pioneers primary school
✅ Ukubwa: SQM 900
✅ Kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya makazi binafsi
✅ Pia kinafaa kwa ujenzi wa apartments (nyumba za biashara)
✅ Eneo ni zuri, limeendelea na linaendelea kukua kwa kasi
✅ Barabara imewekwa lami sehemu kubwa bado meter chache tu
💰 Bei: TSh Milioni 31
📄 Nyaraka: Sales Agreement
Usikose nafasi hii ya kuwekeza katika eneo lenye maendeleo na mahitaji makubwa ya makazi.
📞 Wasiliana: +255 (0) 654 101 710 / +255 (0) 787 205 300
💰 Service Charge: TSh 30,000/=
Karibu ndugu mteja, tufanye biashara.
Dalali Amani Kimara– Miliki Kesho Yako Leo!!!#















