Search

Plot for sale in Tabata Segerea Mwisho, Dar Es Salaam sqm 1200

video thumbnail
Sh. 120,000,000

Plot Size

1200 SQM

Amenities

Title Deed
Flat Land
Near Paved Road

Description

🏑 KIWANJA KINAUZWA – TABATA SEGEREA MWISHO πŸ”₯

Tunauza kiwanja kizuri sana kilichopo Tabata Segerea Mwisho, eneo linalokua kwa kasi na lenye mazingira mazuri ya kuishi na kuwekeza.

πŸ“ Umbali kutoka barabara ya lami ni mfupi na panafikika kwa urahisi mwaka mzima.

βœ… Ukubwa: SQM 1,200
βœ… Nyaraka: Hati Miliki ya Wizara ya Ardhi
βœ… Eneo kubwa na tambarare
βœ… Mazingira tulivu na salama
βœ… Huduma zote muhimu za kijamii zinapatikana karibu

Kiwanja hiki kinafaa kwa:
🏠 Makazi binafsi
🏒 Apartments za kupangisha
🏘️ Villas
🏨 Guest House au Lodge
🏫 Taasisi mbalimbali na miradi mingine ya uwekezaji

πŸ’° BEI: MILIONI 120 TU

πŸ“ž Muhitaji piga: 0688 412 890

Service Charge / Gharama ya Huduma: 30,000/=

✨ Dalali Wako Wakishua – Miliki Kesho Yako Leo! ✨

Similar properties in Segerea, Dar Es Salaam