1 Bedrooms House for Rent in Kimara, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 130,000 per month

Type

House

Bedrooms

1

Description

MASTER BEDROOM NZURI INAPANGISHWA – KIMARA BUCHA

📍 Mahali: Kimara Bucha
🕗 Umbali: Takribani 1 km kutoka stand ya Mwendo Kasi.
🚶 Kwa mguu dakika 15 tu, na kwa bodaboda Tsh 1000 mpaka getini.

🏠 SIFA ZA NYUMBA
Chumba kimoja Master Bedroom.
Umeme wa LUKU (Submeter binafsi imefungwa).

Maji safi yanapatikana masaa 24/7.
Fensi & Parking kubwa na salama.
👉 Chumba kitakuwa wazi tarehe 29/03/2026 kuona ndani na kufanya luksa kabisa kwa uhuru. Booking inaruhusiwa.

GHARAMA
Kodi: Tsh 130,000 × miezi 6

Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba

Mawasiliano 0656623510

Wsp 0752436347