1 Bedroom House for Rent in Mbagala Mbande Kisewe, Dar Es Salaam

Type
House
Bedrooms
1
Bathrooms
1
Nearest Road
5km
Amenities
Description
Chumba single master bedroom kinapangishwa bei elfu 80 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 3 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala mbande kisewe location ungindoni, chumba single master bedroom kina tiliz, madilisha vioo, jiko la ndani kwa ndani lipo, umeme unajitegemea luku yk pamoja na maji pia mita yk, juu panga boy feni lipo, na fensi ipo pia lkn cio yakuingia gari. Umbali wake kutoka kwenye kituo cha daladala hadi kwenye nyumba ni kama mwendo wa dakika 5 ivi kwa kutembea kwa miguu. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.















