1 Bedroom House for Rent in Mbezi Beach Oasis, Dar Es Salaam

Description
🏡 Chumba, Sebule, Jiko na Choo – Inapangishwa
📍 Location: Mbezi Beach, Oasis, Dar es Salaam
✨ Nyumba nzuri na ya kisasa, inafaa kwa bachelor au wanandoa wapya.
✅ Chumba kimoja kikubwa (Master Bedroom)
✅ Sebule ya kisasa
✅ Jiko kubwa lenye makabati mazuri
✅ AC imewekwa
✅ Gypsum & Tiles za kisasa
✅ Umeme wa kujitegemea
✅ Maji ya bomba masaa 24
✅ Eneo la Parking lenye Paving Blocks
💰 Kodi: TZS 700,000 kwa mwezi
📅 Malipo: Miezi 6
📞 Kwa maelezo zaidi na kutembelea nyumba, piga:
0746178918
#HouseForRent #MbeziBeach #Oasis #DarEsSalaamRentals #BachelorHouse ApartmentForRent RealEstateTanzania NyumbaYaKupangisha















