Search

1 Bedroom House for Rent in Tabata Segerea Kwa Bibi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000/month

Description

🏠 CHUMBA MASTER NA JIKO INAPANGISHWA – TABATA SEGEREA KWA BIBI πŸ”₯

πŸ“ Ipo Tabata Segerea Kwa Bibi, eneo zuri na lenye mazingira mazuri ya kuishi.
🚢 Umbali wa takribani dakika 5 kwa miguu kutoka sehemu muhimu za eneo.

πŸ’° BEI: TSH 250,000 KWA MWEZI
πŸ“Œ MALIPO: MIEZI 6 MBELE

✨ Chumba ni Master Bedroom pamoja na Jiko, kinafaa kwa mtu anayehitaji sehemu nzuri, tulivu na yenye mazingira mazuri.

πŸ“’ TAARIFA MUHIMU: Mtu aliyepo kwa sasa anahamia mwisho wa mwezi huu, hivyo mwenye uhitaji anatakiwa kulipia ruhusa mapema ili aweze kuhifadhi nyumba na kuipata mara tu mpangaji wa sasa atakapoondoka.

πŸ“ž Kwa maelezo zaidi na kuiona nyumba:


πŸ”₯ USISUBIRI MPAKA MWISHO β€” WAHI MAPEMA KUHAKIKISHA UNAPATA CHUMBA HIKI! 🏠✨

DALALI BEDA | NYUMBA TABATA

dalalibeda_tabata1

@dalalibeda_tabata1

View Listings

Similar properties in Segerea, Dar Es Salaam

DALALI BEDA | NYUMBA TABATA