Search
-
-

8 Bedrooms House for sale in Forest, Mbeya CBD, Mbeya

 media -1
media -1
media -2
Sh. 400,000,000

Description

šŸ  NYUMBA NZURI INAUZWA – MBEYA MJINI, KARIBU NA STEND YA TUNDUMA
Nyumba nzuri sana inauzwa Mbeya Mjini, karibu na stand ya kwenda Tunduma, eneo zuri kwa makazi na biashara.
✨ Sifa za nyumba:
Ina part mbili
Ndani kuna:
Vyumba 3 vya kulala
Sebule
Nje kuna:
Vyumba 5
Stoo kubwa
šŸ“ Eneo ni zuri sana, karibu na stand ya Tunduma, linafaa kwa: āœ”ļø Makazi ya familia
āœ”ļø Uwekezaji wa kupangisha
āœ”ļø Biashara mbalimbali
šŸ’° Bei: TSH 400,000,000
(Maongezi yapo kidogo kwa mnunuzi mwenye nia ya kweli)
šŸ“ž Wasiliana: 0750548552

Similar properties in Forest, Mbeya CBD, Mbeya

House for sale at Forest, Mbeya

Sh. 31,000,000

Nyumba inauzwa ipo Mbeya Mjini Old airport frelimo kalibu na forest mpya Bei million 31Call me 07667...