4 Bedrooms House for Sale in Chanika Zingiziwa, Dar Es Salaam (600 sqm)







Description
Nyumba Inauzwa – TZS Milioni 55
Ipo Chanika Zingiziwa, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam.
Ukubwa wa Kiwanja: Meta za mraba 600, kikiwa na Hati Miliki
Sifa za Nyumba:
Vyumba viine, viwili Master , vingine kawaida
Sebule kubwa
Dining Room
Jiko
Stoo
Public Toilet















