4 Bedrooms House for Sale in Kigamboni Fani City, Dar Es Salaam

Amenities
Description
๐ก NYUMBA MPYA YA KISASA INAUZWA โ KIGAMBONI FANI CITY
Usikose fursa hii ya kumiliki nyumba mpya ya kisasa katika eneo linalokua kwa kasi, linalofaa kwa makazi na uwekezaji.
๐ Mahali: Kigamboni โ Fani City
๐ Nyaraka: Sales Agreement
โจ Sifa za Nyumba:
* Vyumba 4, vyote Master
* Sebule kubwa
* Dining
* Jiko la kisasa
* Nyumba mpya kabisa
* Kisima cha maji
* Fremu ya biashara ndani ya eneo
* Mazingira tulivu na salama
๐ Umbali:
* Kilomita 1 kutoka barabara ya lami
* Kilomita 12 kutoka Feri
* Kilomita 10 kutoka Daraja la Nyerere
๐ฐ Bei:
TZS Milioni 135 (Mazungumzo yapo.)
๐ฅ BEI IMEPUNGUA!
Hapo awali nyumba hii ilikuwa inauzwa kwa TZS Milioni 160, lakini kwa sasa mwenye nyumba anaiuza kwa TZS Milioni 135 tu.
๐ Wasiliana nasi: 0769 554 221
๐Service Charge 30,000
#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio















