4 Bedrooms House for Sale in Kigamboni, Kibada, Dar Es Salaam

Type
House
Bedrooms
4
Bathrooms
3
Nearest Road
400m
Amenities
Description
🏡 NYUMBA MPYA YA KISASA INAUZWA – KIGAMBONI, KIBADA 🏡
Je, unatafuta nyumba ya kisasa yenye ubora wa hali ya juu katika eneo tulivu na lenye miundombinu mizuri? Hii ndiyo chaguo sahihi kwako!
✨ Sifa za Nyumba:
✅ Vyumba 4 vya kulala
✅ Master Bedrooms 3
✅ Sebule kubwa na ya kisasa
✅ Jiko la kisasa
✅ CCTV Cameras
✅ Electric Fence
✅ Full Paving
✅ Kisima cha maji
📍 Mahali:
• Mita 400 kutoka barabara ya lami
• Kilomita 6 kutoka Feri
• Kilomita 4 kutoka Daraja la Nyerere
• Ipo katika mtaa mzuri, salama na unaokua kwa kasi.
💰 Bei: TSh Milioni 350 (Mazungumzo yapo.)
🏠 Inafaa kwa:
✔️ Makazi ya familia
✔️ Uwekezaji wenye faida
✔️ Biashara ya Airbnb
✔️ Guest House au Party House
📞 Wasiliana nasi: 0769 554 221
#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio















