4 Bedrooms House for Sale in Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam

Amenities
Description
π‘ NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI KISIWANI π‘
Nyumba nzuri kabisa inauzwa Kigamboni Kisiwani, imejengwa kwa kisasa na imekaa kifamilia zaidi.
β
Ina vyumba 4 vyote Master
β
Sebule kubwa
β
Dining pamoja na Jiko
β
Nyumba imejengwa kisasa na finishing nzuri
π Mahali:
βοΈ Kilomita 10 kutoka Ferry
βοΈ Kilomita 3.5 kutoka Daraja la Nyerere
π Documents:
β
Serikali ya Mtaa
π° Bei: Milioni 115 maongezi yapo kidogo kwa mnunuzi serious.
π Nyumba imekaa kifamilia na mazingira ni mazuri na tulivu kwa makazi.
Karibu sana tujiunge kufanya uwekezaji wako wa ndoto π΄π₯
π0769554221
#trendingvideo #istagram #tanzaniaπΉπΏ #realestateforsale #trendingaudio















