3 Bedrooms House for Rent in Temboni, Dar Es Salaam









Amenities
Description
Mpyaaaaa mpyaaaaa Inapangishwa ipo temboni kulia kama unaelekea mbezi Umbali km.2.5 kufika usafiri boda au bajaji ukishuka bajaji unatembea dk 7 Muundo wanyumba Vyumba vitatu vyakulala kimoja master sebule kubwa jiko napablick toilet Ndani yafensi nyumba 5 kilamoja Inajitegemea umeme namaji Kodi 410x6 Kuonanyumba elfu 20 Utamlipa dalali kodi yamwezi ukilipia nyumba Call. 0712500602 0755336565















