3 Bedrooms House for Sale in Kibaha-Mwendapole, Pwani (400 sqm)
Type
House
Bedrooms
3
Bathrooms
2
Plot Size
400 SQM
Nearest Road
2km
Description
NYUMBA KUBWA YAKUMALIZIA UJENZI,TZS.25 MILIONI TU,KIBAHA-MWENDAPOLE.
Ipo umbali wa kilomita 2 kutoka Barabara ya Morogoro.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Imejengwa kisasa na ni imara.
Vyumba 3 (Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
__________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
__________________mpg















