3 Bedrooms House for Sale in Nyashishi, Mwanza (900 sqm)

Amenities
Description
BOMA LINAUZWA NYASHISHI -lina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni 30x30 -kiwanja kimepimwa -bei Milioni 13 ☎️ 0743220097






