3 Bedrooms House for Sale in Tabata Kinyerezi Mwisho Kibaga, Dar Es Salaam (320 sqm)
Type
House
Bedrooms
3
Bathrooms
2
Plot Size
320 SQM
Nearest Road
3km
Amenities
Description
🏡✨NYUMBA HII INAUZWA TABATA KINYEREZI MWISHO KIBAGA DAR ES SALAAM TANZANIA 🇹🇿
Unatafuta sehemu nzuri ya kujenga makazi yako au kufanya uwekezaji wa apartments? Hiki hapa! 👇
📍 TABATA KINYEREZI MWISHO KIBAGA
🚗UMBALI NI DAKIKA 3 KUTOKA MAIN RAOD
📐 UKUBWA WA KIWANJA NI SQM 320
📑UMILIKI - NYALAKA ZA SERIKALI ZA MTAA
🔴Hii ni fulsa Nzuri sana ya biashara nimekuletea ndugu mteja Mwenye Nia ya dhati ya kuwekeza katika Apartments,nyumba hii ipo Katika mtaa mnzuri sana panalipa hapa ndugu mteja mitaa yake inalusu Kwa biashara ya Apartments Njoo ukalabati nyumba hii Kisha pangisha ule faida kila mwezi.
✅Vyumba 3 Vya Kulala
✅1 Master bedrooms
✅Sebule
✅Dinning Room
✅Jiko safi
✅Stoo
✅Public Toilet
💰 BEI NI 38 million Tu
Fursa nzuri kwa makazi au uwekezaji wa uhakika! 🔥
📞 Muhitaji piga: +255 785 916 587
#Tabata #KiwanjaKinauzwa #DarEsSalaam #RealEstateTanzania dalaliyohanakinyereziApartments Uwekezaji Kiwanja TabataKinyerezi Nyumba LandForSale TanzaniaRealEstat















