2 Bedrooms House for Rent in Kimara Mwisho, Dar Es Salaam







Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam
2 days ago
Sh. 350,000 per month
Type
House
Bedrooms
2
Nearest Road
2.5km — Morogoro Road
Amenities
Electricity
Standalone Electric Meter
Standalone Water Meter
Fence
New Construction
Large Living Room
Description
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 2,5 KUTOKA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI ZIPO KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELFU 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
==============
Nyumba mpya
Ni vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hizi zipo kwenye fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
=============
Tuelewane wateja
Nitataja bei mbili tofauti na miezi tofauti
ATAKAE WEZA KURIPA MWAKA
BEI YAKE NI
(350,000)
X 12
====≈====
MIEZI SITA NI
(400,000)
X 6
##0655256419
##0688617926
