2 Bedrooms House for Rent in Kimara Orogwe, Dar Es Salaam

Description
nyumba inapangishwa ipo #kimara _orogwe barabara ya zege
nyumba ina
📌vyumba viwili vya kulala
📌kimoja master
📌Sebule
📌Jiko lenye makabati
📌Choo cha public ndani
nyumba ni mpya ndani ya Fensi Parking ipo Mazingira Mazuri
inajitegemea LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani
#KODI 700.000 kwa mwezi Malipo ni miezi sita
survey charge 20,000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba
0679 997610















