Search

2 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi Mwisho, Dar Es Salaam (400 sqm)

video thumbnail
Sh. 150,000,000

Description

๐Ÿ˜๏ธ APARTMENTS ZINAUZWA โ€“ KINYEREZI MWISHO

๐Ÿ’ฅ Fursa adimu ya uwekezaji yenye mapato ya uhakika!

0744112394

๐Ÿ“ Location: Kinyerezi Mwisho
๐Ÿ›ฃ๏ธ Takribani Kilomita 1 kutoka barabara ya lami.

โœ… Zinauzwa nyumba 3 za standalone, zikiwa zimekamilika kwa takribani 80%. Kazi iliyobaki ni kufunga madirisha, masinki ya vyooni na kufanya finishing ndogo kabla ya kuanza kuzipangisha.

Kila nyumba ina:

๐Ÿ  Vyumba 2 (kimoja Master)
๐Ÿ›‹๏ธ Sebule
๐Ÿฝ๏ธ Jiko
๐Ÿšฟ Choo cha Public

๐Ÿ“ Ukubwa wa kiwanja: SQM 400

Kiwanja ni kikubwa na bado kina nafasi ya kujenga nyumba nyingine nyingi za biashara. Kwa ramani nzuri na ushauri wa mhandisi, unaweza kuongeza nyumba hadi 10 au zaidi kulingana na mahitaji yako.

๐Ÿ’ฐ Kila nyumba ikikamilika inaweza kupangishwa kwa takribani TSh 500,000 kwa mwezi, hivyo ni uwekezaji wenye faida ya muda mrefu.

โšก Umeme tayari umeunganishwa.
๐Ÿ“„ Nyaraka zipo na ziko tayari kwa uhamisho.

๐Ÿ’ต Bei: TSh 150,000,000

๐Ÿ”ฅ Fursa kama hii hazidumu sokoni. Wahi uwekezaji wako leo!

๐Ÿ’ผ Service charge / Gharama ya huduma: TSh 30,000/=

๐Ÿ“ž Muhitaji piga:
0744112394

Similar properties in Kinyerezi, Dar Es Salaam

4 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi, Dar Es Salaam (566 sqm)

Sh. 120,000,000

For Sale4 beds1 bath566 sqmhouse
  • Near Mosque

  • Sitting Room

4 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi, Dar Es Salaam (566 sqm)

Sh. 120,000,000

For Sale4 beds566 sqmhouse
  • Near Mosque

3 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi Mongolandege, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

For Sale3 beds2 bathshouse
  • Water Supply

  • Near Road

  • Dining Room

3 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi Mongolandege, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

For Sale3 beds2 bathshouse
  • Water Supply

  • Near Road

  • Dining Room

2 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi Mwisho, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 150,000,000

For Sale2 beds2 baths400 sqmhouse
  • Electricity

  • Title Deed

  • Stand Alone Property

3 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi Mwangolandege, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

For Sale3 bedshouse
  • Air Conditioning

  • Water Supply

  • Electricity

3 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi Mwangolandege, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

For Sale3 bedshouse
  • Air Conditioning

  • Water Supply

  • Fence

3 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi Bangulo, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

For Sale3 bedshouse
  • Fence

  • Parking Space

3 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi Bangulo, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

For Sale3 bedshouse
  • Fence

  • Parking Space

3 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi Sekretari Mwisho, Dar Es Salaam (350 sqm)

Sh. 150,000,000

For Sale3 beds350 sqmhouse
  • Water Supply

  • Public Toilet

  • Servant Quarter

3 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi Sekretari Mwisho, Dar Es Salaam (350 sqm)

Sh. 150,000,000

For Sale3 beds2 baths350 sqmhouse
  • Water Supply

  • Kitchen

  • Public Toilet

3 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 440,000,000

For Sale3 beds2 baths600 sqmhouse
  • Electricity

  • Standalone Electric Meter

  • Water Supply

2 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi Mwisho, Dar Es Salaam (2000 sqm)

Sh. 150,000,000

For Sale2 beds2,000 sqmhouse
  • Electricity

  • Title Deed

  • Free Site Visit

Houses & Apartments for Sale in Kinyerezi Mwisho, Dar Es Salaam (2000 sqm)

Sh. 150,000,000

For Sale2 beds2,000 sqmhouse
  • Electricity

  • Title Deed

  • Free Site Visit