Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

video thumbnail

Description

📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni kibada kisarawe ll

📍Umbal wa kilometer 10 kutoka fer yaan kivukoni
📍Napia umbal wa kilometer 9 kutoka Daraja Ra nyelele

SIFA ZA KIWANJA
Kiwanja kinaumbali wa kilomita 1 kutoka men rod kubwa ya lami

Pia kiwanja kina Hati ya wizara

📍Kiwanja kinaukubwa wa sqm 1800

📍Majiran wako vizur
📍Huduma za kijamii zipo Kama maji, umeme na NK..

📍Bei mill 55

☎️+255789020004

NB : Gharama za kupelekwa saint ni erf 20,000